BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS, TAMISEMI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA KATIKA SHULE YA MSINGI DODOMA MAKULU, AKUTA BARUA YA AFSA ELIMU IKIELEKEMUELEKEZA MWALIMU MKUU KUCHANGISHA MICHA KWA WAZAZI AMUWEKA KIPORO

Tangazo lililopo kwenye ukuta wa ofisi ya Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Dodoma Makulu Janeth Justine

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi George Simbachawene akiongea na waandishi habari mjini Dodoma 

Waziri Chawene na Mkurugenzi wa Elimu Msingi Abdu Maulid katika mkutano na waandishi wa habari

Waziri wa Tamisemi Akishuka kwenye Gari alipofanya ziara ya kushtukiza katika shule ya msingi Dodoma makulu

Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Janeth Justine akisalimiana na Naibu katibu mkuu Tamisemi Bernad Makali wakati akiwakaribisha shuleni hapo

Waziri wa Nchi Ofisi, ya Rais Tamisemi George Simbachawene akimpa mkono mwalimu mkuu wa shule ya msingi Dodoma makulu Baada ya waziri huyo na ujumbe wake kufanya ziara ya kushtukiza shuleni hapo 
 IMEANDALIWA NA BANDA BLOG
Waziri Chawene akisoma Barua toka kwa afsa Elimu iliyomtaka mkuu huyo wa shule kuitisha mkutano wa kuomba michango ya shule kwa wazazi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tamisemi George Simbachawene, Naibu Katibu Mkuu Tamisemi Bernad Makali, Mkurugenzi wa Elimu Sekondari Pauline Mkwama na Mkurugenzi wa Elimu Msingi Abdu Maulidi wakijadiliana jambo nje ya ofisi za Halmashauri ya manispaa ya Dodoma mara baada ya kuwakosa wahusika, ili kutaka maelezo ya barua ya kuchangisha michango kwa wazazi iliyotolewa na afsa Elimu Manispaa
Waandishi wa habari wakimsikiliza waziri Chawene ofisini kwake kabla ya ziara ya kushtukiza katika Shule ya msingi ya Dodoma Makulu

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG