9439 na 9441 Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akipokea zawadi ya kikombe kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene ikiwa ni ishara ya Ofisi hiyo kutambua
mchango wake wa kuendeleza michezo wakati akiwa Naibu Waziri katika Wizara hiyo
. Mheshimiwa Majaliwa alizungumza na watumishi wa TAMISEMI mjini Dodoma Januari
21, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri

Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa wa
TAMISEMI baada ya kuzungumza nao mjini Dodoma Januari 21, 2016.Kulia
kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto
kwake ni Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Benard Makali. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)

Tags
HABARI KITAIFA