Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Daniel Fransisco Chapo, Ikulu Mkoani Dodoma, leo Juni 12, 2024. Chapo pia ni Katibu Mkuu wa FRELIMO.