BANDA MEDIA BLOG

ABIRIA WA NDEGE CANADA WAJERUHIWA BAADA YA NDEGE KUPATA MITIKISIKO

Ndege ya shirika la ndege la Canada imelazimika kutua kwa dharura baada ya kupata mitikisiko mkubwa ikiwa angani na kujeruhi abiria 21 wakiwemo watoto watatu.

Ndege hiyo ya Air Canada iliyokuwa ikitokea Shanghai China kwenda Toronto Canada ililazimika kwenda kutua Calagary baada ya kukubwa na mtikisiko huo.

Abiria wanane waliumia shingo na mgongo na wengine 13 walikimbizwa hospitali kwa ajili ya uangalizi.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG