Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba (wa kwanza
kulia), akisikiliza jambo kutoka kwa Mgeni wake, Mkurugenzi wa Benki ya
Dunia nchini, Bi Bella Bird (katikati), wakati alipomtembelea Waziri
huyo ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya kumpongeza kwa
kuteuliwa kwake Uwaziri. Wa kwanza kushoto katika picha ni Bwana, Andre
Bald aliyeongozana na Mkurugenzi huyo .
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais Muungano na Mazingira, Mheshimiwa, January Makamba (katikati),
akizungumza wakati alipotembelewa na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia
Nchini, Bi Bella Bird kwa ajili ya kumpongeza kwa kuteuliwa kwake
Uwaziri. Wa kwanza kushoto katika picha ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi
ya Makamu wa Rais, Dkt. Julius Ningu akifuatiwa na Katibu Mkuu wa Ofisi
hiyo Bwana Sazi Salula, huku wa kwanza kulia ni Bwana Andre Bald
aliyeongozana na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia Nchini.
(Picha na OMR)
Tags
HABARI KITAIFA