![]() |
| Askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la Dodoma Beatus Kinyaiya akiongoza ibada ya kuuaga mwili wa Marehemu Salome Kiwaya aliyepoteza maisha kwa ajali kabla ya kusafirishwa kwenda njombe kwa mazishi |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida Martha Mlata akizungumza jambo wakati alipokuwa akitoa salamu za Rambi rambi Kwenye Ibada hiyo ya Kumuaga Marehemu Salome Kiwaya |
![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Dodoma njini Christina Mndeme akitoa Pole |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Adamu Kimbisa akimuelezea Marehemu Salome Kiwaya alivyokuwa ndani ya chama enzi za uhai wake |
![]() |
| Mstahiki Meya wa manispaa ya Dodoma Jaffary Mwanyemba akizungumza kwenye ibada hiyo |
![]() |
| Spika wa Bunge Job Ndugai akizungumza jambo wakati alipokuwa akitoa Pole kwa familia ya marehemu Salome kiwaya wakati wa ibada ya kuuga mwili wake iliyofanyika katika kanisa katoliki la Dodoma |
![]() |
| Pinda akitoa Salamu za Rambi Rambi wakati waibada ya Kumuaga Mwenyekiti wa UWT Salome Kiwaya aliyefariki kwa ajali ya Gari ijumaa iliyopita |
![]() |
| Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda akimpa mkoano wa pole Mzee Kiwaya kutokana na msiba wa mke wake salame Kiwaya wakati wa ibada ya kuuaga mwili wake iliyofanyika kanisa kuu katoliki la Dodoma ambapo mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho mjini Njombe |
![]() |
| Familia ya Marehemu wakiwa kwenye Ibada hiyo |
![]() |
| Mume wa Marehemu Salome Kiwaya, Mzee Kiwaya akitoa shukurani zake kwenye ibada hiyo |
![]() |
| viongozi mbalimbali wakiwa katika ibada hiyo |
![]() |
| Askofu Msaidizi wa kanisa hilo Chesco Msaga akitoa salamu za rambirambi wakati wa kuuaga mwili huo |
![]() |
| Askofu wa kanisa hilo Mkoa huo Beatus Kinyaiya akitoa Baraka za mwisho mbele ya mwili wa marehemu Salome Kiwaya kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda njombe kwa ajili ya mazishi |
![]() |
| Wakina mama wa chama cha Wanawake Wakataliki Tanzania Jimbo La Dodoma wakiusindikiza mwili wa Mwenyekiti wao ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa UWT mkoani humo Salome kiwaya mara baada ya ibada ya kuuaga Mwili kwa ajili ya Kuusafirisha kwenda mkoani njombe kwa ajili ya maziko |
![]() |
| Maelfu ya wakazi wa Dodoma wakiwa nje ya kanisa kuu katoliki jimbo kuu la mkoani humo wakiwa na huzuni wakati waliokuwa wakiusindikiza mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT uliyosafirishwa kwenda njombe kwa mazishi mara baada ya ibada ya kuuaga mwili wake |
Tags
HABARI KITAIFA
























