
Mimi ni kijana toka pande za kaskazini mwa Tanzania, nikiwa natokea
katika kabila la pili linaloongoza kwa umaarufu miongoni mwa makabila
yanayopatikana mkoani humo.
Sasa basi kipindi kama cha miongo miwili iliyopita nilibahatika kwenda
kwenye mafunzo ya jadi maarufu kama jando, kilichokua kinafanyika kule
ni pamoja na mafunzo ya kuihudumia familia yako pamoja na mbinu za
kumridhisha mwanamke kimapenzi.
Baada ya wiki sita za mafunzo mbalimbali tulitoka na kufanyiwa sherehe
Kubwa, siku ya sherehe Babu alinifuata na kuniambia anataka anifanye
mwanaume kamili, mimi sikumuelewa.
Babu aliniambia niende kwake jioni. Nilipoenda jioni hiyo aliniingiza
chumbani kwake na kuniambia nitoe uume wangu, baada ya kuutoa uume wangu
alinichanja chale na kunipaka mafuta ya uume wa punda akachanganya na
dawa nyingine, huku akichanganya na maneno yake anayoyajua yeye
mwenyewe.
Baada ya wiki uume ulikuwa mkubwa mpaka leo unanitesa kwani umekuwa
mkubwa na mrefu, halafu cha ajabu hata kama ni bao la kwanza ninachelewa
mpaka nakua kero kwa mwenzangu, jamani nisaidieni kwani nakosa raha
kabisa, Babu amefariki tangu 1998, mpaka sasa nishakimbiwa na wapenzi
kadhaa kutokana na maungo yangu kuwa makubwa!!
Ahsanteni wote mtakaochangia matusi na comments za ajabu ajabu sitaki.