BANDA MEDIA BLOG

CHAMA CHA WAKUNGA TANZANIA CHAHAMASISHA WANAFUNZI KUJIUNGA NA FANI HIYO MJINI DODOMA

 Mratibu wa Mradi wa uhamasishaji ili kuleta wakunga wengi na Bora Nchini kwa Kanda ya Ziwa na Magharibi Stephano Simba wa Chama cha Wakunga Tanzania akifafanua jambo wakati akizungumza na wanafunzi na walimu wa shul ya sekondari ya Viwandani
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Viwandani wakifuatilia jambo wakati walipokuwa wakihamasishwa kusoma masomo ya Sayansi na hatimaye kujiunga na Ukunga
Mkunga wa Hospaital ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma akizungumza na wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Chinangali
 Mratibu wa Mradi wa uhamasishaji ili kuleta wakunga wengi na Bora Nchini kwa Kanda ya Ziwa na Magharibi Stephano Simba wa Chama cha Wakunga Tanzania akifafanua jambo wakati akizungumza na wanafunzi na walimu wa shul ya sekondari yaChinangali manispaa ya Dodoma [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG]
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Chinangali wakinyanyua mkono kuashiria jambo wakati uhamasishaji huo ukiendelea Shuleni hapa.









Katibu Tawara Wilaya ya Dodoma Mjini Jasinta Mboneko akisikiza maelezo ya mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Kiwandani waliokuwa wakifanya mafunzi ya vitendo ya Sayansi



Mkuu wa Shule ya Viwandani Zainab Rajab

KUFUATIA maadhimisho ya siku ya Wakunga Dunia inayotarajiwa kufanyika mjini Dodoma Mey 5, mwaka huu wanafunzi wanaosoma masomo ya sayansi katika shule za sekondari za serikali wamesema ni vigumu kufikia matarajio ya kufanya vizuri katika masomo hayo kutokana na ukosefu wa maabara na walimu.
Wakiongea na waandishi wa habari mara baada ya mkutano wa uhamasishaji wa masomo ya sayansi na Ukunga uliofanywa na chama cha wakunga Nchini katika shule za sekondari za Chinangali na Viwandani mjini Dodoma ambapo wamesema swala la ukunga litafanikiwa kwa asilimia chache sana
Wanafunzi Debora Masangia na Beneza Musiga wa sekondari ya Viwandani awemeeleza hayo huku wakiungwa mkono na Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Chinangali Mwalimu Boniface Malima

Nae Mratibu wa Mradi wa uhamasishaji ili kuleta wakunga wengi na Bara Nchi Kanda ya Ziwa na Magharibi Stephano Simba wa Chama cha Wakunga Tanzania ameishauri serikali kutenga bajiti kwa ajili ya walimu wa masomo hayo pamoja na maabara

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG