Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia), Kaimu Katibu
Tawala Mkoa wa Arusha Hamdun Mansur (katikati) na Afisa wa Mamlaka ya
Hifadhi ya Ngorongoro Ndugu Bajuta wakisoma ramani ya Pori Tengefu
Loliondo na mpaka wake na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na Ngorongoro
muda mfupi kabla ya kuaza ziara ya kukagua maeneo hayo jana.
Waziri
wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akikagua maeneo ya mpaka
kati ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na eneo lenye mgogoro la Pori
Tengefu Loliondo jana mkoani Arusha jana, pamoja na mambo mengine
alimsimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori wa Wizara hiyo,
Prof. Alexander Songorwa kwa tuhuma za rushwa na kuhujumu jitihada
halali za Serikali za kumaliza mgogoro huo. Aliagiza Mkurugenzi huyo
afikishwe TAKUKURU kwa uchunguzi wa tuhuma hizo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi
Kigwangalla akikagua maeneo ya mpaka kati ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti na eneo
lenye mgogoro la Pori Tengefu Loliondo jana mkoani Arusha jana.

Dk. Kigwangalla (kulia) akimuhoji mmoja ya wananchi jamii ya wafugaji alipotembelea Pori Tengefu Loliondo jana.

Tags
Dk Kigwangalla