BANDA MEDIA BLOG

MWANAFUNZI AJINYONGA KWASABABU YA KUTOHAMISHWA SHULE


Nairobi: Mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 16 kijiji cha Kwa-Kibathi Nchini Kenya amejiua baada ya Baba yake kushindwa kumuhamisha Shule ya serikali aliyokuwa akisoma kumpeleka shule binafsi. Kijana huyo alikuwa akisoma sekondari ya Maralal kwenye County ya Samburu nchini Humo alikutwa amejinyonga kwa kamba pembeni mwa nyumbani kwao.


Afisa wa polisi wa kaunti ya sambura OCPD Joseph Cheruiyot amesema kuwa wanaendelea na uchunguzi juu ya tukio hilo licha ya baba yake kueleza sababu za kujinyonga kwake kuwa ni kushindwa kuhamishwa shule


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG