Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. James Peter Mataragio kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati kwenye hafla iliyofanyika IkuluTunguu, Zanzibar, tarehe 05 Machi, 2024.
RAIS DKT. SAMIA AMUAPISHA MATARAGIO KUWA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA NISHATI
byJohn Banda
-
0
