![]() |
| Waziri
Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa akizunguka
katika soko la Sabasaba la Mkoani Dodoma jana kujionea jinsi
wafanyabiashara wanavyofanya biashara zao. PICHA:RAMADHAN HASSAN |
![]() |
| Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Kassim Majaliwa akizunguka katika mtaa wa One way Mkoani hapa kujionea jinsi wajasiriamali wanavyofanya biashara zao. |
Tags
BIASHARA




