Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mara baada ya kumaliza ziara yake ya
siku tatu nchini na kurejea DRC.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Congo Joseph Kabila akipunga mkono wakati akipanda ndege kurejea
nchini kwake mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu hapa nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan wakipunga mkono kuagana na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia
ya Congo Joseph Kabila (hayupo pichani) katika Uwanja wa ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Shekhe Mkuu wa mkoa wa
Dar es Salaam Alhadi Mussa Salum katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere mara baada ya kuagana na mgeni wake Rais wa wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila. kulia ni mkuu wa Wilaya
ya Ilala Sofia Mjema.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila katika Uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kabla ya kuondoka. Kushoto ni
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila wakati akimsindikiza
katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kabla ya
kuondoka. Kushoto ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na mgeni wake wake Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila wakati nyimbo za Taifa
za mataifa yote mawili zikipigwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan pamoja na mgeni wake wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Congo Joseph Kabila wakiangalia vikundi vya ngoma za asili vilivyokuwa
vikitoa burudani uwanjani hapo.

akikagua mashine ya ukaguzi wa mizigo katika uwanja wa ndege wa Mwalimu
Julius Nyerere (JNIA) Terminal One kuangalia ufanisi wa mashine hizo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu
akiangalia ufanisi wa mashine za kukagulia mizigo katika uwanja wa ndege
wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) Terminal One na kukuta zinafanya kazi
vizuri. Aliyekaa ni Mwendeshaji wa Mashine hizo kutoka Mamlaka ya
Viwanja vya Ndege TAA-Grace Jonathan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na mgeni wake Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila katika Uwanja wa ndege
wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati wakiangalia vikundi vya
ngoma uwanjani hapo. PICHA NA IKULU
Tags
HABARI KITAIFA