Kimenuka South Africa..Rais Jacob Zuma Afikiria Kujiuzulu
byJohn Banda-
0
Kutokana na migogoro inayoendelea South Africa ndani ya chama tawala cha
African National Congress (ANC), Rais Jacob Zuma anajifikiria kujiuzulu
nafasi hiyo mwakani japokuwa muda wake haujaishia.