BANDA MEDIA BLOG

Ofisi za TFF Zapigwa Kufuli na TRA...Sababu Hizi Hapa



Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezifungia ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) leo na kuamrisha kuacha kila kitu ndani, hali hiyo imefikiwa kufuatia deni kubwa la kodi wanalodaiwa TFF. Kampuni ya Yono Auction Mart kwa idhini waliyopewa na TRA walihusika katika kuzifunga ofisi hizo na kuwataka kutotoka na kitu chochote ndani.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG