Waziri wa Afya, maendeleo ya
Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akizungumza mbele ya wabunge
na wadau mbalimbali wa afya na mazingira hawapo pichani wakati wa
uzinduzi wa kampeni ya yautunzaji wa mazingira ijulikanayo kama “NIPO
TAYARI”iliyofanyika leo mjini Dodoma.
Waziri wa Afya, maendeleo ya
Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wa kwanza kulia akifungua
pazia kuashiria uzinduzi wa kampeni ya yautunzaji wa mazingira
ijulikanayo kama “NIPO TAYARI”uliofanyika mjini leo mjini Dodoma.
Waziri wa Afya, maendeleo yaJamii,
jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu katikati akiwa amebeba nembo
inayoashiria uzinduzi wa kampeni ya kutunza mazingira ijulikanayo kama
“NIPO TAYARI” uliofanyika mjini Dodoma , wengine ni wadau mbalimbali wa
mazingira pamoja na baadhi ya wabunge.
Waziri wa Afya, maendeleo ya
Jamii, jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kushoto akiteta jambo na
Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Bw.
Suleiman Jaffo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya yautunzajiwa mazingira
ijulikanayo kama “NIPO TAYARI” uliofanyika mjini leo mjini Dodoma.
Pichana Ally Daud-WAMJW DODOMA
…………………………..
Na Ally Daud-WAMJW DODOMA
SERIKALIiimedhamiriakuboreshakiwango
cha vyoo bora mjininavijijinikutokaasilimia 35 hadiasilimia 55
kufikiamwaka 2025 ilikujengataifalenyeafya bora
nalisilonamaambukiziyamagonjwayatokanayonauchafuwavyoo.
Akizungumzahayokwenyeuzinduziwakampeniyautunzajiwamazingiraijulikanayokama
“NIPO TAYARI” WaziriwaAfya,MaendeleoyaJamii, Jinsia
,WazeenaWatotoUmmyMwalimuamesemakuwaSerikaliimepaniakufikishaasilimiayauborawavyoompakakufikia
2030.
“Hatuahiiitafikiwaendapokwapamojatutasukumambeleajendayausafiwamazingirakwakushirikiananawadaumbalimbalihasakatikaujenziwavyoobora,utupajisalamawa
taka ngumu,upatikanajiwamajisalamakwamikonomiwili” alisemaWaziriUmmy.
AidhaWaziriUmmyamesemakuwayapomafanikioyaliyofikiwakatikakupunguzakasiyawatukujisaidiaovyotabiaambayonikisababishi
cha maambukiziyamagonjwamengikatikajamii.
MbalinahayoWaziriUmmyalitoaraikwawanasiasawenginekushirikiananawananchikatikamajimboyaoilikusukumakwavitendoajendayaUsafiwaMazingiranchini
.
Kwaupande wake
NaibuwaziriOfisiyaRaisTawalazaMikoanaSerikalizaMitaaBw. Suleiman
Jaffoamesemakuwawatanzaniawawamijininavijijiniwawemstariwambelekatikakuhakikishawanatumiavyoo
bora kila kaya ilikuepukamagonjwayakuambukiza.
NayeNaibuWaziriwamajinaumwagiliajiMhandisiIsackKamwelweamesemakuwailikuendananakasihiyowamejipangakuhakikishashulezotezamsinginasekondarinchinizinapatamajisafinasalamakwawakatisahihi.
Tags
VYOO