BANDA MEDIA BLOG

MAKAMU WA RAIS, DTK. NCHIMBI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MASHUJAA WA VITA YA MAJIMAJI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiweka shada la maua katika kaburi la Nduna Songea Mbano, ambaye alikuwa kiongozi mwandamizi wa Mashujaa wa Vita ya Majimaji pamoja na kuweka Shada la maua katika kaburi la halaiki la Mashujaa 66 wa Vita ya Majimaji ikiwa ni kumbukizi ya Miaka 120 ya Mashujaa wa Vita ya Majimaji, iliyofanyika katika viwanja vya Makumbusho ya Vita ya Majimaji Songea, mkoani Ruvuma, leo tarehe 27 Februari 2026.



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG