Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya
Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd,Mussa Awesu Bakari wakati alipokuwa
akiangalia ramani ya Mradi wa ujenzi wa Ukuta wa Forodhani Mjini Unguja
leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya Miradi mbali
mbali Mjini,
[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akimuuliza suala Kaimu
Mkurugenzi wa mamlaka ya Mji Mkongwe wa Zanzibar Nd,Mussa Awesu Bakari
wakati alipokuwa akiangalia Mradi wa ujenzi wa Ukuta wa Forodhani
Mjini Unguja leo akiwa katika ziara maalum ya kutembelea maendeleo ya
Miradi mbali mbali Mjini,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata
maelezo ya ramani ya ujenzi wa Mtaro wa maji ya Mvua katika viwanja wa
mnazi mmoja kutoka kwa Mhandisi wa Manispaa ya Zanzibar Mzee Khamis Juma
wakati alipotembelea mradi huo wa ujenzi unaojengwa na kampuni ya CRJ
kutokaChina,
Tags
HABARI KITAIFA




