BANDA MEDIA BLOG

HUU HAPA WASIFU WA DKT. NEEMA MAJULE MGOMBEA UBUNGE KUPITIA UWT DODOMA


 DR NEEMA PETER MAJULE

Mgombea Ubunge Viti Maalum Wanawake  Mkoa Dodoma

Wasifu

Mwenyekiti wa UWT Mkoa Awamu 2

Mchumi na mtaalum wa maandiko ya miradi na michanganuo ya kibiashara.

Uwezo mkubwa wa kubuni kuanzisha na kusimamia miradi ya kiuchumi

Mumiliki  na Mkurugenzi wa shule Binafsi Rhema na mwanzishaji wa Shule ya  Nursery ya UWT 

Mwenyekiti aliyekomboa viwanja 6 vya UWT na ununuzi wa Gari la UWT mkoa

Mwenyekiti aliyeongoza  ujenzi wa Frame 14 za UWT na ujenzi wa  nyumba Katibu UWT  Mkoa

Mwenyekiti aliyewezesha upatikanaji wa vyereheni  viti na vyombo  kata 209 kuwawezesha viongozi kufanya kazi za UWT 

Kiongozi aliyefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi UWT Dodoma ina miradi

Mjumbe wa Kamati ya Uchumi  Miradi  Mipango na fedha UWT Taifa

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG