|
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu
Mohamed Seif Khatib akimkabidhi fomu Ndugu Simon G. Rubugu
Hawa
ndio waliojitokeza mpaka sasa kuchukua fomu Makao Makuu ya CCM Ofisi
Ndogo Lumumba ;Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta, aliyekuwa
mbunge wa Karagwe,Gosbert Blandes,Leonce Mulenda, George Nangale na Profesa
Costa Mahalu, Muzamil Kalokola, Banda Sonoko,Simon Rubugu. |