Ndugu
Julius Pawatila (kulia)akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya
CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
Mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa Ndugu Job Ndugai akijaza maelezo kwenye kitabu maalum cha kujisajili kabala ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Balozi Philip Marmo(kulia) akirejesha fomu za kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Balozi Philip Marmo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kurejesha fomu ambapo aliwaambia kuwa amejipanga kuendesha bunge kisasa linaloendana na wakati na teknolojia.
Dr.Tulia Arkson (kulia) akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
Ndugu Watson Mwakalila (kulia) akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
Mbunge mteule wa Jimbo la Kongwa Ndugu Job Ndugai akijaza maelezo kwenye kitabu maalum cha kujisajili kabala ya kuchukua fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu
Mohamed Seif Khatib (kushoto)akimkabidhi fomu za kuwania nafasi ya
Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mbunge wa Jimbo la
Kongwa Ndugu Job Ndugai.
Ndugu
Simon Rubugu (kulia) akirejesha fomu za kuwania Uspika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM
Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib.Balozi Philip Marmo(kulia) akirejesha fomu za kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Balozi Philip Marmo akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kurejesha fomu ambapo aliwaambia kuwa amejipanga kuendesha bunge kisasa linaloendana na wakati na teknolojia.
Dr.Tulia Arkson (kulia) akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
Ndugu Watson Mwakalila (kulia) akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
Dr.
Didas Masaburi (kulia)akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Uspika wa
jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya

Tags
SIASA