BANDA MEDIA BLOG

MWANAMUZIKI ARETHA FRANKLIN AMTOA MACHOZI RAIS BARACK OBAMA

Mwananuziki Aretha Franklin ameonyesha umahiri wake wa kutumbuiza kwa hisia kali kiasi cha kumwaga chozi rais Barack Obama.

Aretha Franklin alifanikiwa kumuacha rais Obama akitokwa chozi wakati alipokuwa akiimba ngoma yake ya zamani ya 'A Natural Woman.'

Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 73, alitumbuiza hafla ya 2015 Kennedy Center Honors Jijini Washington, D.C, hafla ambayo ilirushwa rasmi wiki hii.
                Rais Obama akifuta chozi, huku mkewe Michelle akiwa pembeni yake

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG