BANDA MEDIA BLOG

NIMEKUWEKEA PICHA KADHAA ZA ZIARA YA MH. WAZIRI MHAGAMA NA NAIBU WAKE KATIKA KATA YA MPUNGUZI NA MATUMBULU MKOANI DODOMA WALIPOFIKA KUTOA MSAADA WA TANI 700 ZA CHAKULA KWA WAATHILIKA WA MAFURIKO

Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthon Mavunde ambaye pia ni naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira na Walemavu akimuongoza waziri wa Wizara hiyo Jenister Mhagama kutembelea Waathirika wa mafuriko katika kata ya Mpunguzi Manispaa ya Dodoma

Mhagama akiangalia kisima cha maji cha shule ya sekondari ya Mpunguzi kilichoathiliwa na mafuriko

ujenzi wa Daraja ukiendelea ili kuziba Gema ambalo lilibomoshwa na maji yaliyosababisha mafuriko

Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini akiongea jambo na wakazi wa mpunguzi walioathirika na mafuriko kabla ya kumkaribisha Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu Sera, Ajira, Bunge na walemavu Jenister Mhagama ambayo pia Mbunge huyo ni Naibu wake


Mwananchi akisalimisha Mbao pamoja na Bati baaday ya nyumba yake Kuangushwa na mafuriko

Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri mkuu sera, Bunge na walemavu Jenister Mhagama akimpa pole mmoja wa athilika wa mafuriko

Tingatinga likichimba mtaro katika daraja la mpunguzi linalodaiwa kuwa ndilo chanzo cha mafuriko hayo  IMEANDALIWA NA BANDA BLOG


Mhagama alipotembelea na kujionea athari zilizoipata shule ya sekondari ya mpunguzi






sehemu ya jiko la hostel ikiwa imejaa matope yaliachwa na mafuriko hayo



Mhagama akiwa na viongozi mbalimbali shuleni hapo

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG