Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG
Profesa Mussa Juma Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Profesa
Mussa Juma Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuber Ally Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuber Ally, Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli
akimkaribisha Mkurugenzi wa Mashtaka DPP Bw. Biswalo Eutropius Mganga
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tags
HABARI KITAIFA