BANDA MEDIA BLOG

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA BALOZI WA PALESTINA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Palestina hapa nchini Mhe. Hazem M. Shabat Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli baada ya kupokea Hati za Utambulisho za Balozi wa Palestina hapa nchini Mhe. Hazem M. Shabat alifanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016. PICHA NA IKULU

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG