Wataalum
kutoka Wizara ya Nishati na Madini , Wizara ya kilimo ,uvuvi na mifugo,
Wizara ya maji na umwagiliaji pamoja na watalaam kutoka bonge la mto
Rufiji wakipita eneo ambalo kumejengwa tuta ili kuzua njia ya asili ya
moja ya mito inayomwaga maji katika mabwawa ya kuzalisha umeme wa maji
kwa nia ya kupisha ujenzi wa mfereji wa maji yatakayotumika katika
kilimo cha umwagiliaji, jambo ambalo limedaiwa kuwa huathiri mazingira
na utiririshaji wa maji katika mabwawa.
Wadau wa maji waliotembelea
maeneo ya mito na kugundua baadhi ya njia za asili za mito inayomwaga
maji yake kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme imezibwa.
kitendo hicho kinadaiwa kuathiri utiririshaji wa maji katika mabwawa ya kuzalisha umeme.
pia wadau hao wameshauri taasisi zote ikiwemo wizara ya nishati na madini,wizara ya kilimo , mifugo na uvuvi, wizara ya maji na umwagiliaji pamoja na bonde la mto rifiji zinazotumia rasilimali maji katika shughuli zake kushirikiana ili kumaliza tatizo la kukauka na kupungua kwa maji katika mabwawa ya kuzalisha umeme.

Cable wire za Umeme zikipitishwa
katika moja ya njia zililizopo chini ya mwamba wa mlima( tannel) ambapo
ndipo zilizopo mashine za kuzalisha umeme wa maji na shughuli zote za
uzalishaji.
Mashine za kuzalisha umeme wa maji
katika vituo vya Kihansi, kidato na Mtera vinanyonekana ambapo shughuli
zote za uzalisha wa umeme wa maji na mashine hizo ziko chini ya mwamba
wa mlima uliotombelea .
Sehemu iliyochepushwa maji
kitaalamu kutoka katika moja ya mito inayomwaga maji kwenye mabwawa ya
kuzalisha umeme wa maji ili maji hayo yatumike kwa kilimo cha
umwagiliaji.
Tuta lilijengwa katika njia asili
ya mto ili kupisha ujenzi wa mfereji wa maji yatakayotumika katika
kilimo cha umwagiliaji, jambo ambalo limedaiwa kuwa huathiri mazingira
na utiririshaji wa maji katika mabwawa.
Tags
HABARI KITAIFA