BANDA MEDIA BLOG

HII NDIYO SHULE YA MSINGI NGUJI ILIYOPO KATIKA KIJIJI CHA MAPINDUZI A, KATA YA NGHONG'ONHA MANISPAA YA DODOMA YENYE MADARASA 3 WALIMU 4 IKIWA NA WANAFUNZI 550

Shule ya Msingi Nguji iliyopo Kijiji cha Mapinduzi A, Kata ya Nghong'onha manispaa ya Dodoma inaonekana ikiwa na Vyumba 3 vya madarasa huku ikiwa na wanafunzi 550
Mwenyekiti wa Kijiji cha Mapinduzi A, Willy Joseph akionyesha Matofali 900 ambayo yamefyatuliwa kwa nguvu za wananchi ambayo wanatarajia kujengea vyumba 2 vya madarasa na ofisi ya Walimu. IMEANDALIWA NA BANDA BLOG



Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG