Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Mhe. Alvaro
Rodriguez kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es
salaam Februari 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini, Bw. Alvaro
Rodriguez Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Yosemin Eralp kabla ya
mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23,
2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Balozi wa Ireland nchini, Mhe. Fionnuala Gilsenan,
Ofisini kwake jijini Dar es salaam Februari 23, 2016. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Balozi wa Switzerland nchini, Mhe. Florence Tinguely
Mattli, Ofisini kwake Mkuu jijini Dar es salaam Februari 23, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tags
HABARI KITAIFA