Mwili wa Marehemu Mdala Ndeyaa ukiwa umefunikwa na
shuka alipokutwa ameuawa kwa kuchinjwa shingo na watu/ mtu
asiyefahamika, huku Damu nyingi zikiwa zimetapakaa.
![]() |
| Askari kanzu wakifanya mahojiano na watu mbalimbali kuhusiana na tukio la mauaji ya kutisha ya Mdala Ndeyaa aliyeuawa kwa kuchinjwa. |
![]() |
| Askari wakikagua mwili wa marehemu Mdala Ndeyaa aliyekutwa kauawa kwa
kuchinjwa nyumbanike katika Mtaa wa UDOM kata ya Iyumbu Manispaa ya
Dodoma. IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
![]() |
| Wakazi wa Kata ya Iyumbu wakiwa wamekusanyika kuangalia mwili wa Marehemu Mdala Ndeyaa mwenye umri wa makamo aliyekutwa kauawa mita chache nje ya nyumba yake. |
Tags
HABARI KITAIFA








