Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (katikati) akizungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la
Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi, kuhusu masuala mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo
na Wizara kiujumla. Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa kulia ni
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira, na wakwanza
upande wa kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha
zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (kulia) akizungumza
jambo katika kikao kazi alichokitisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (katikati) kuzungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la
Polisi nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake, kuhusu masuala
mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla.
Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini
Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa kushoto ni Mkuu wa Jeshi la
Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Balozi Simba Yahya, akizungumza jambo katika
kikao kazi alichokitisha Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles
Kitwanga (katikati) kuzungumza na Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi
nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara yake, kuhusu masuala
mbalimbali ya utendaji wa kazi ndani ya Jeshi hilo na Wizara kiujumla.
Kikao hicho kilifanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini
Dar es Salaam leo. Kulia kwa Balozi Simba ni Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira.Wakwanza upande wa kushoto ni Mkuu
wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini,
IGP Ernest Mangu akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Charles Kitwanga (katikati) kuhusu masuala mbalimbali ya kikazi ndani ya
Jeshi lake katika Kikao kazi cha Watendaji Wakuu wa Jeshi la Polisi
nchini pamoja na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
kilichoitishwa na Waziri Kitwanga na kufanyika katika Ukumbi wa Mikutano
wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wakwanza upande wa kulia ni
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Projest Rwegasira, akifuatiwa
na Naibu wake, Balozi Simba Yahya. Picha zote na Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi.
Tags
HABARI KITAIFA