BANDA MEDIA BLOG

KANYE WEST ATOKA NA MKEWE KIM AKIWA NA VESTI KWENDA KUPATA KILAJI

Wakati Mkewe Kim Kardashian akihofia kuonyesha mabega ya mikono yake kutokana na kuwa na unene uliotokana na kujifugua, rapa Kanye West ameonekana akiwa na mkewe huyo huku akiwa amevalia vesti.

Wanandoa hao nyota na maarufu dunia, walionekana wakishuka kwenye gari na kwenda kupata kilaji wakati wakipiga picha za tamthilia ya maisha ya uhalisia inayohusisha kipengele cha Cocktails wakiwa na Khole Kardashian.
                                            Kanye West akiwa na mkewe Kim Kardashian
Rapa Kanye West akicheka wakati akimfungulia mkewe mlango aingie kwenye gari

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG