BANDA MEDIA BLOG

WAZIRI JANUARI MAKAMBA AKUTANA NA KIKUNDI CHA (UWAMITA)

jar1
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba akiangalia baadhi ya sampuli za mifuko isiyoharibu mazingira ambayo inatengenezwa na Umoja wa Watengeneza mifuko isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) Kulia  ni Mwenyekiti wa kikundi hiko Jumanne Mgude.

jar2
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, akiongea na Wanakikundi wa Umoja wa Watengeneza Mifuko isiyoharibika Tanzania (UWAMITA) walipomtembelea Ofisini kwake mtaa wa Luthuli.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG