Waziri wa Habari mheshimiwa Nape amesema anamheshimu sana aliyekuwa
mgombea wa uraisi kupitia Chadema, Edward Lowasa kwani kuna mambo mengi
ameyajifunza kwake!
Source: Jambo leo.
We should learn that, politics is not flexible. Leo unasema hivi, kesho unakana ama kugeuza kile ulichosema jana!