Muigizaji Wema Sepetu, amesema mchezo wa soka unamchosha kuangalia kwa
kuwa unatumia muda mrefu wa dakika 90 huku wachezaji wake wakihangaika
mno kutafuta mabao tofauti na mpira wa kikapu (Basketball).
Wema anasema mara nyingi akiwa nyumbani kwake hupenda kuangalia mpira wa kikapu kwani hauchoshi na wachezaji huwa wanatumia muda mfupi kupachia mabao.
Ili aangalie soka na kumaliza muda wote wa mchezo ni lazima awe na kampani yake na mara nyingi iwe laivu uwanjani

Tags
KIBURUDANI