Kupitia instagram, Kajala ameandika:
Dear baby, no matter how old i get i will always be your mom and you will always be my little cute thing.Paula, we have been through alot together but you have always been there for me, unanipa nguvu, unanifariji na kunishika mkono na kuninyanyua.Nikikuangalia napata nguvu sana..
your the reason why am working really hard just to see u happy
and see your beautiful smile.You support me in my everything even when
sometimes you know that am wrong. Wewe ni rafiki yangu ambae hutachoka
kua na mm na utanifuta machozi daima.Am thankful to God that your
becoming a big girl but kua a big girl peke yake haitoshi mama angu..but
nitafarijika kukuona unakua katika maadili mema, tabia njema na
uendelee kua mtoto mwenye huruma na uheshim na kumpenda kila mtu.The
most important thing in your life paula ni ELIMU…education is everything
my love..shikilia elimu yako ili na wewe uje kua mtu kati ya watu.elimu
ndio baba na mama wa maisha yako.Lets pray to God niishi maisha marefu
ili nizidi kukutunza na kukulea vyema mwanangu.ni shida nyingi na tabu
nimepitia kwa ajili ya kukukuza katika maisha bora na yenye furaha, yote
hayo ni kwasababu nataka ukue ili utimize ndoto zako.Sometimes i may
scold you, get angry, I may even be grumpy.But no matter what I do or
how annoying I may seem, all I want is for you to live your dreams.I
want you to grow and become a better person each day.My heart is filled
with Memories of a little girl who touched my heart and change my World
forever. Without forgetting last week tulienda kumuona Babu Seya
akakwambia kwamba `soma sana uwe advocate ili uje unitoe babu yako’that
statement means alot Paula keep it in your mind…HAPPY BIRTHDAY TO MY
BEAUTIFUL BABY GIRL…NAKUPENDA SANA MWANANGU😍😍❤😍
Tags
KIBURUDANI
