| Kaimu Shekh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ahamed Said akitoa mawadha katika ibada ya Eid ndani ya msikiti wa Gadaffi mjini humo |
| Ndani ya Msikiti wa Gadaffi mjini Dodoma waumini wa Dini ya kiislamu wakisikiliza mawaidha |
| Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiswali wakati wa ibada ya Eid katika msikiti wa Gadaffi Dodoma IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
| Baada ya Swala ya Eid El Fitri Kaimu Shekh Mkuu huyo akazunguza na waandishi |
Tags
HABARI ZA DINI