Sasa leo July 5, 2016 amezungumza na Ayo TV kueleza kile ambacho alikuwa akitarajia baada ya kurusha mahojiano hayo na kusema….
‘Nilitarajia kwamba kuna watu watakuwa hawanielewi kwa kile nilichokuwa nakifanya na yule mtu, kwahiyo nilijua kwamba kuna aina ya watu ambao ni vigumu sana na kama utakuwa unakumbuka kabla ya kuanza kipindi nilisema najua kuna watu watanikosoa kwa kile ninachokirusha kwahiyo impact imekuwa kubwa’- Zamaradi
Tags
MAAJABU
