BANDA MEDIA BLOG

BODI YA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO YAHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE YA UWEKEZAJI WA MITAJI YA UMMA MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro  Mwanaidi Sinare Maajar akizungumzakwenye kikao hicho
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Albert Obama akifafanua jambo wakati alipokuwa akiongoza kamati yake kuwahoji wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Hafadhi ya Ngorongoro, Kulia ni Makamu mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Lolesia Bukwimba


Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro Freddy Manongi akiongea Jambo wakati wajumbe wake walipoitwa na kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma ili kuhojiwa IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG
Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro Freddy Manongi akiongea Jambo wakati wajumbe wake walipoitwa na kamati ya kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma ili kuhojiwa
Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji mitaji ya Umma wakiwa kwenye kikao hicho cha mahojiano




Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG