Kiongozi wa Kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe
akisalimiana na Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai alipomtembelea nyumbani
kwake Jijini Dar es Salaam.Spika wa Bunge amerejea nchini hivi karibuni
kutoka nchini India alipokwenda kwa ajili ya uchunguzi wa afya yake.
Tags
SIASA
