Kama umesoma[au unasoma], kwa lengo la kuja kupata pesa; unaweza kuja
kujidharau na kuwa "disappointed". Kwa sababu huku mtaani kuna watu ni
ama la saba au hata la saba hawakumaliza
lakini ndio wanaoongoza
kumiliki pesa za kutisha. Ukipata nafasi ya kusoma; soma kwa bidii,
lakini ni vema ukatambua kuwa [fedha za maana] ni nadra sana kukaa
kwenye vyeti. Vyeti vikijitahidi sana vitaishia kukupa pesa ya
kubadilishia mboga. Akili inayokupa vyeti madarasani ni tofauti kabisa
na akili inayotumika mtaani katika utafutaji wa pesa! #SmartMind