| Askofu Akiabudu kwa kuinua mikono |
| Wajumbe wa mkutano huo wakifurahia jambo |
| Kitabu kikitiwa wakfu |
| Askofu Peter Konki wa Tanzania na Mkewe Wakiombewa |
| Picha ya pamoja kati ya Viongozi wa kanisa hilo wa nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania |
| Maasikofu hao wakionyesha Fedha na kitabu mara baada ya kukizindua |
| Wajumbe wa mkutano huo |
| Askofu mkuu wa kanisa hilo Nchini Peter Konki akisaini Kitabu chake MALEZI NA MAKUZI YA KANISA mara baada ya kukizindua |
Tags
HABARI ZA DINI