HomeSIASA Rais Yoweri Museveni Kutawala Uganda Milele, Muswada wa Kubadili Katiba Kuwasilishwa leo byJohn Banda -Thursday, August 25, 2016 0 Leo Serikali ya Uganda itawasilisha muswada Bungeni unaotaka kubadilisha Katiba ili Rais Yoweri Museveni aweze kutawala milele. Nini maoni yako juu ya hiki kinachotaka kufanyika? Tags SIASA Facebook Twitter