HomeSIASA Tundu Lissu Afunguka.. 'Hakuna Mtu Anayetaka Kumjaribu Rais Magufuli, Mahabusu Sio Pazuri Niulizeni Mimi' byJohn Banda -Tuesday, August 09, 2016 0 Baada ya Kutoka mahabusu kwa dhamani Tundu ameongea haya mbele ya waandishi wa Habari: "Hakuna mtu anataka kumjaribu Rais Magufuli, hakuna anayetaka kukamatwa, mahabusu sio pazuri, niulizeni mimi." - Tundu Lissu Toa maoni yako Tags SIASA Facebook Twitter