Kwakipindi kirefu sasa kampuni ya usambazaji wa filamu za kibongo nchini
na nje ya nchi kukaa kimya kwa muda mrefu sasa imerejea tena katika
soko kwa kasi ya hajabu,
Kutokana na taarifa za mmoja ya watu wa ndani ya kampuni hiyo na aliomba jina lake lisitajwe, kampuni hiyo kwa sasa imeingia mikataba na baadhi ya wasanii wakubwa hapa bongo na walio lishika soko la filamu nchini, pia mtu huyo aliendelea kusema kuwa kwa sasa kampuni hiyo inamalizia kushoot filamu yake nchini China na wataelekea South Africa kumalizia scen nyingine kisha watarejea tanzania.
Chanzo hicho kilieleza kuwa Kampu inayo mambo mengi mapya na kuwa Yuneda Entertainment itakuwa sokoni mnamo tarehe 10/08/2016 wakitoa filamu yao ya SITA MARA MBIRI (6X2)na kufuatiwa na filamu zinazo julikana kwa majina ya BIRIKA na CASE + CASE.
Hii ndio filamu inayo sadikika kuwa inatoka tarehe 10/08/2016 ijulikano kwa jina la SITA MARA MBIRI (6x2)

Tags
KIBURUDANI