BANDA MEDIA BLOG

GAMBO WATAKA WAIGIZAJI KUJIWEKA TAYARI KUTUMIA FURSA MBALI MBALI KUJIENDELEZA

gao
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza wakati akifungua semina ya wadau wa Tasnia ya filamu jijini Arusha na wasanii wa mkoa wa arusha wanaondelea na semina yao ya siku mbili kwenye shule ya msingi Arusha(Arusha School) ambapo aliwaahidi kuwa nao bega kwa bega na kuahidi kusimamia asilimia 5% ya vijana nao wanapata ilikuendeleza vipaji vyao picha zote na mahmoud ahmad arusha

Mkuu wa mkoa akipokea zawadi ya Cd kutoka kwenye chama cha wasanii wa filamu jiji la Arusha(TDFAA)kama shukrani kwa mcgango wake kwa chama hicho na wasanii wa Arusha kwa ujumla.

Kaimu Mkurugenzi wa jiji la Arusha Tajjiel Mahega akiongea kwenye hafla hiyo.

Viongozi wa serikali wakiongozwa na mkuu wa mkoa wakisubiria mkuu wa mkoa kupewa zawadi kutoka kwa wasanii wa filamu wanaoshiriki semina ya siku mbili iliyoandaliwa na chama cha wasanii wa filamu jiji la Arusha(TDFAA) 

Mkuu wa mkoa na viongozi wa serikali mkoani hapa wakiwa wamesimama baada kupokea zawadi kutoka kwa wasanii wa filamu

Kaimu mkurugenzi wa jiji la Arusha Tajjiel Mahega akiongea neno kabla ya kumkaribisha mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo kuzindua semina hiyo
Director wa filamu Fotnatus John akiimba mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya semina ya Ujasiriamali na kuunda Saccoss kwa wasanii wa filamu jijini Arusha leo picha na mahmoud Ahmad Arusha

Add caption

Mkuu wa mkoa akiongea na vyombo vya habari waliofika kwenye semina hiyo nje ya ukumbi baada ya kumaliza kufungua semina hiyo

Add caption

Mmoja wa wasanii waigizaji wa filamu akiwa amemkabidhi zawadi ya kazi yake ilipo kwenye cd mkuu wa mkoa wa Arusha mrisho gambo huku viongo mbali mbali waliohudhuria hafla hiyo wakifuatilia tukio hilo kama wanavyoonekana pichani

Director wa filamu Fotnatus John akiimba mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya semina ya Ujasiriamali na kuunda Saccoss kwa wasanii wa filamu jijini Arusha leo picha na mahmoud Ahmad Arusha

\
Juu na chini Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiondoka baada ya kufungua semina ya wasanii akiongozana na kaimu mkurugenzi wa jiji la Arusha mwenye miwani na kulia na kushoto ni mwenyekiti wa chama cha waigizaji wa filamu Izzack Challo akiwasindikiza kutoka ili mkuu aendelee na majukumu mengine

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiongea na wasanii wa filamu wa jiji la Arusha (hawapo pichani) anayeonekana mbele mwenye shati Jekundu ni mwenyekiti wa Chama cha waigizaji wa filamu mkoa wa Arusha IZZACK CHALLO ambaye alikuwa kama mc kwenye semina hiyo.picha na mahmoud ahmad arusha

Director wa filamu Fotnatus John akiimba mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo wakati alipokuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya semina ya Ujasiriamali na kuunda Saccoss kwa wasanii wa filamu jijini Arusha leo picha na mahmoud Ahmad Arusha

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG