Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika
Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa
Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili
Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa mkutano wa
Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika
Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono Rais wa Uganda
Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es
salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa mkutano wa Viongozi wa
jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika
Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Mhe Yoweri
Kaguta Museveni wakiwa na Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika mashariki, Kikanda na Kimataifa Dkt Augustine Mahiga na Waziri wa
Fedha na Mipango Dkt Plilip Mpango mara mgeni wake huyo alipowasili
Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa mkutano wa
Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika
Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli katika mazungumzo na Rais wa
Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar
es salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa mkutano wa Viongozi wa
jumuiya hiyo hapo kesho
Tags
HABARI KITAIFA