BANDA MEDIA BLOG

BURUDANI PICHA 10: Muonekano wa Rihanna akiwa kwenye mavazi ya Kiafrika


Kama wewe ni mpenzi wa kufuatilia mastaa wa nje ya nchi, maisha yao ya kawaida na kimziki na siku zote nina hakikisha haupitwi na chochote mtu wangu , leo hii nakusogezea picha  za staa wa RnB & Pop  mwanadada Rihanna akiwa na katika muonekano mpya wa kiafrika zaidi.
Licha ya mrembo huyu kuwa staa wa muziki pia Rihanna ni mwanamitindo na amekuwa akitinga pia mavazi ya kiafrika ambayo nimeona pia wewe mtu wangu  uweze kumwona akiwa katika staili hii ya nyumbani, nakusogezea picha 10 uweze kujionea hapa chini.
jalabia-kokotv
rihana-wears-danski-yeoal

600331681_1405786
08506694bb9aeac23c7fb6272d9ed277
13249772_514476698758971_1190269510_n
untitled
txxhtnzer1qgxbdwismc
rihanna-on-stage-at-t-in-the-park-2013-1373756560-view-0
article-2431860-1841978400000578-788_634x873

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG