| Lori la mizigo likionekana jinsi lilivyokita juu ya gari dogo aina ya noah na kusababisha kifo cha mtu mmoja |
| Mmoja wa majeruhi akiwahishwa kwenye gari la polisi na kukimbizwa hospitali baada ya kufanikiwa kuchomolewa kwenye Gari alipokuwa amenasa |
| Wakazi wa manispaa ya Dodoma wakishuhudia ajili hiyo iliyotokea karibu na kituo cha Emaus ya kwanza barabara ya Dodoma Morogoro |
| Kamanda wa kikosi cha Uokoaji cha zimamoto mkoa wa Dodoma akiongea na vyombo vya habari kwenye ajali hiyo |
| Basi la wanafunzi wa shule ya Adrea Mwaka lilonusulika kwenye ajiali hiyo japo ambapo dereva alipelekwa hospatali kwa matibabu |
![]() |
| Mmoja wa waokoaji akijaribu kumchomoa mmoja wa majerehi aliyekuwa amenasa kwenye Gari dogo aina ya noah aliyokuwa imelaliwa na na lori la mizigo |
Tags
HABARI KITAIFA
