Kama
ilivyo ahadi yangu kwako kila siku ni kuhakikisha haupitwi na chochote
ukiwa karibu yangu. Kutoka nchini Sydney nimeipata hii ya Mbwa
anayetajwa kuwa ndiye Mrembo zaidi kuliko Mbwa wote duniani. Nimeamua
kushea na wewe mtu wangu picha 5 za Mbwa aitwaye Tea mwenye miaka
mitano.
Inaelezwa
kuwa urembo wa Mbwa huyu unachangiwa zaidi na style yake ya manyoya
marefu tofauti na Mbwa wengine ambao kawaida huwa na manyoya mafupi au
hata kama ni marefu huwa hayazidi Sentimita 30, lakini huyu Mbwa Mrembo
zaidi duniani amekua na utofauti na kujizolea umaarufu kwenye social
media kama Instagram na Facebook.
Nimekuwekea hapa picha zake.
Tags
MAAJABU