![]() |
| Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini Christina Mndeme akifanyiwa Vipimo vya moyo na Nesi wa Hospital ya Mkapa iliyopo UDOM kulia ni Daktali Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Hospaitali hiyo Meda John |
![]() |
| Vipimo vikiendelea |
![]() |
| Mfanyabiasha wa Magoro Dodoma Haidaly Gulamaly akizungumza na waandishi wa habari wakati zoezi hilo likiendelea |
![]() |
| Wagonjwa wakiendelea kujiandisha siku ya kwanza |
![]() |
| John Banda ambaye ni mmiliki wa Blog hii akipata vipimo mbalimbali ambapo hata hivyo alishauliwa kupunguzoa uzito |
Tags
AFYA






